Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Mipango ya Mungu kwetu sisi wanadamu

Featured Image
Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao.
100 💬 ⬇️

TAFAKARI KUHUSU NAFASI YA MATESO NA SHIDA KATIKA MAISHA

Featured Image
Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu. Mateso na shida katika maisha ni nafasi ya kujifunza na Kuonyesha unyenyekevu, Imani na Matumaini ya mtu.
100 💬 ⬇️

Kumtafuta Mungu ni Jukumu lako Binafsi

Featured Image
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee.
100 💬 ⬇️

Yafahamu Mawazo na Mipango ya Mungu Kwako

Featured Image
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika njia ambayo Ipo katika mipango na mapenzi ya Mungu basi atapokea yale mema Mungu aliyopanga Kwake. Lakini kama mtu ataishi kwa kufuata mapenzi yake mwenyewe basi atapoteza yale mema Aliyopangiwa.
100 💬 ⬇️

Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu

Featured Image
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
100 💬 ⬇️

Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo

Featured Image
Wakati wa Kukomunika kila mtu anampokea Yesu kwa namna alivyojiweka tayari. Vile ulivyojiandaa ndivyo na Yesu anakuja kwako.
100 💬 ⬇️

Mambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba

Featured Image
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini. Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote.
100 💬 ⬇️

Maana ya kuushinda ulimwengu

Featured Image
Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi.
100 💬 ⬇️

Nguvu na Umuhimu wa Upendo

Featured Image
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu
100 💬 ⬇️

Thamani ya Neno "Nimekusamehe"

Featured Image
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About