Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
Updated at: 2024-05-25 18:08:04 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini? .
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali . MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? .
MFUGAJI: Huwa nawaanzia siku na uji wa ulezi, halafu mikate, mchana ugali kwa kabeji na usiku viazi . MWANAHARAKATI: Loh watu wanakufa kwa njaa wewe unalisha nguruwe, akapigwa fainiโฆ.siku chache baadae wakaja wanaharakati wa Mazingira . MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalisha nini? . MFUGAJI: (Kwanza akasita kidogo) Hawa huwa nawapa shilingi alfu tano kila mmoja kila siku halafu wao wenyewe wanaenda kununua chakula wanachokitaka.. .
Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!
Updated at: 2024-05-25 18:12:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unafikiri atakuwa amekula nini?
Updated at: 2024-05-25 18:09:37 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee. MALAIKA: Kwa nini? MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani patakuwa senta ya hatari, supu na nyama choma muda wote. Hata we utafaidi, unavyoenda kuchukua roho unaniletea stock nakupa hela yako cash mkononi. Na kila ukipita hapa unapiga mchemsho wako wa ulimi na bia mbili chap kabla ya kuingia mbinguni. Kwanza nashangaa Shirima alipitaje hapa bila kushika ploti, au alikufa amelewa sana?
Updated at: 2024-05-25 17:11:57 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MZARAMO V/S MCHAGA. Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine. MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa. MZARAMO: "unaumwa nini?" MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.." MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.." Mchaga akatoa. MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.." MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?" MZARAMO: "Umepona karibu tena.." Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake. MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau sanaaaaa.." MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..' MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..' MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.." MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?" MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.
Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Updated at: 2023-04-29 22:52:15 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo: Manka 35,000 Marieta 20,000 Kekuu 30,000
Kitime 15,000 Kinabo 10,000 TOTAL 110,000/= MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii. Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyeweโฆ
Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi Okafor
Updated at: 2023-04-29 22:52:21 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambaia:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngozi Okafor MVULANA: Hapana!, Nimekuja kuazima kitabu cha Maombi kama kinaitwa "WHERE SHOULD I WAIT FOR YOU?" by Ngลฉgฤฉ wa Thiong'o MSICHANA: Aaah! Icho sina ila ninacho kimoja kinaitwa "UNDER THE MANGO TREE" by Chimamanda Adichie MVULANA: Ooh! Vizuri, Basi usisahau kuja nacho kesho kitabu cha Okot p'Bitek kile kinachoitwa "CALL ME IN 5 MINUTES BEFORE" Utakapokuja shule. MSICHANA: Usijali, tena nina kitabu kipya kinaitwa "I WON'T LET YOU DOWN" by Chinua Achebe Baba mtu akawatazamaaaa kisha akasema BABA: Vitabu vyote hivyo, mbona vingi sana, atavisoma vyote kweli MSICHANA: Ndio Daddy, huyu mvulana hupo smart sana na ana akili atavisoma vyote hivyo! BABA: Sawa! Usisahau kumpatie na kile ambacho nimekiweka pale juu ya meza, kinaitwa "I AM NOT STUPID, I UNDERSTOOD EVERYTHING YOU'VE BEEN SAYING" by Shakespeare! Na kuna kingine nimekiweka juu ya kabati la vyombo, kinaitwa "IF YOU GOT PREGNANT PREPARE TO GET MARRIED"