Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa
Updated at: 2024-05-25 18:09:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize… Kaka, mbona u mnyonge hivyo?" Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!! 😂😂😂😂😂😂
Read more
Close
Biashara ambayo imefeli
Updated at: 2024-05-25 17:51:09 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
*TEACHER*: _nielezee biashara ambayo imefeli kutokana na uzembe *STUDENT*: Changudoa akipata mimba… *TEACHER*: _get Out!!!!!!!!!!!!!!_ 😂😂
Read more
Close
Kiingereza kinashida kweli, Angalia alichokisema huyu mwalimu
Updated at: 2024-05-25 16:57:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kiingereza shidaaaa……!
Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizur
Tcha: these beans are not well connected,,😂😂😂
Read more
Close
Kifahamu Kidada kimbea kilichofukuzwa kazi
Updated at: 2024-05-25 16:52:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Unafahamu?
Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzako
📲 📲
Read more
Close
Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress
Updated at: 2024-05-25 16:53:32 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mapenzi ni balaa
Mapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what's wrong🤔-—unawez kumjib MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEW🤣🤣🤣
Read more
Close
Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?
Updated at: 2024-05-25 17:57:42 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
"MAENEO FLANI ya KISHUA"
-Mshikaji kamwona demu mkali anakatiza kitaa akamkubali akaamua amfuate amtemee cheche
MSHIKAJI- mambo dada?
DEMU- pouwa
MSHIKAJI- umependezaa!!!
DEMU- asante.
MSHIKAJI- unaweza ukanisaidia namba yako ya simu…….. maana duh nmekukubali kinyama.
Demu baada ya kuambiwa vile akazama kwenye pochi lake akatoa noti ya sh.10000 akaandika namba yake kwenye noti akampa mshikaji.
Mshikaji kapokea ile noti kachana sehem iliyoandikwa namba halafu kamrudishia Demu noti yake..!!!
NANI ANA DHARAU NA NANI JEURI.. DEMU AU MSHIKAJI??!
Read more
Close
Cheki nilichomfanyia boss wangu
Updated at: 2024-05-25 17:03:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallah…!! sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!! Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu.. Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.
Read more
Close
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi
Updated at: 2024-05-25 17:46:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:*
*Teacher:* `Who is a pharmacist?`
*Shemdoe:* 👆🏿 _(raised up his hand.)_
*Teacher:* `So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?`
_(There was no reply from the students)_
*Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote kila mmoja viboko 3.`
*Shemdoe* _(akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)_
*Teacher:* `Now, my dear Shemdoe tell this dumb students, who a pharmacist is…?`
*Shemdoe:* `Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.`
_*Shemdoe sasa hivi amelazwa MOI kwa wataalam wa mifupa*_😀😀😀
Read more
Close
Huu ndio uhondo na raha ya kupanda daladala wajameni
Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi 1. nitakupa 2. Atapewa mbele 3. Hujapewa mbele? 4. Utapewa nyuma 5. Nitakupa nikikaa vizuri 6. Ngoja isimame nikupe
Updated at: 2023-04-29 22:53:04 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi 1. nitakupa 2. Atapewa mbele 3. Hujapewa mbele? 4. Utapewa nyuma 5. Nitakupa nikikaa vizuri 6. Ngoja isimame nikupe
7. subiri asimamishe nikupe 8. hivi nlivyo kaa ntakupaje? 9. Utapewa tulia 10. Nikupe mara ngapi?
Read more
Close
Huyu panya wa tatu ni noma
Updated at: 2024-05-25 17:04:03 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
🐀 🐀 🐀 Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
Panya WA 1 na 2 wakazimia😆😆😆😆😆Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
Read more
Close