Sidebar with Floating Button
AckySHINE Katoliki
AckyShine

Huruma ya mama kwa mwanae ilivyomtesa

Featured Image
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.
8 Comments

Stori inayogusa!!

Featured Image
Habari ya mama aliyeuguliwa ghafla na mtoto wake majira ya SAA 2 usiku, mtoto alibanwa na kifua(asthma), hali ilikuwa mbaya na mama akaenda kuomba msaada kwa jirani yake aliyekuwa na gari
8 Comments

Maisha magumu ya changamoto ya mke na mme

Featured Image
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea.
11 Comments

Kisa cha baba mzee na mwanae

Featured Image
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre.
8 Comments

Majuto ni mjukuu. Angalia kisa cha huyu dada

Featured Image
Dada mmoja aliyejulikana kwa jina la Angel, alikuwa anafanya biashara ya kujiuza ili aweze kuweka kitu tumboni mwake. dada huyo alikuwa na wateja wamaana na mapedeshee wengi
8 Comments

Kisa kilichombadilisha mume tabia

Featured Image
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi
8 Comments

Kisa cha mama na mwanae na mkwe wake

Featured Image
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya.
8 Comments

Kisa cha kusisimua cha mama mjane

Featured Image
Mimi ni mwanamke mjane ninaishi mjini Arusha. Huu ni ushuhuda wangu wa maisha yangu. Miaka 21 iliyopita nilifunga ndoa na mume wangu mpendwa kanisani, baadaye tukajaliwa kuwa na watoto wa2 mmoja wa kiume Alfred na mwingine wa kike Minza.
16 Comments
📘 About 🔒 Login 📝 Register 📞 Contact