Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_cdc804a5805c37424ea99eff5929fa04, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Kisa cha baba mzee na mwanae
Date: December 23, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao.
Ofisa katika sehemu ya mapokezi alimuomba Mzee huyo achague chumba Kama anataka chenye TV Na Kiyoyozi Au la; Mzee akasema hahitaji chumba CHOCHOTE Chenye TV wala Kiyoyozi. Mwanaye ALIPOENDA kwenye Gari kuchukua begi la baba yake; mkewe aliyekuwa muda wote kwenye Gari akasisitiza Kuwa amwambie huyo Mzee asirudi nyumbani kabisa HATA Siku Za Sikukuu Kwa sababu yeye Mke hataki usumbufu wowote wa kumhudumia.
Mtoto huyo wa pekee kwa Mzee huyo alishangaa alivyorudi Na mizigo ya baba yake alipokuta Mzee wake akizungumza Kwa bashasha Na Padre wakionekana wanafahamiana sana, maana walionekana wakiongea kwa kukumbushana mambo ya zamani ambapo Mzee alionekana mchangamfu isivyo kawaida. Mtoto akamuuliza Padre "unamfahamu baba Yangu? Maana naona mnazungumza Kwa bashasha sana Kama mnafahamiana"
Padre akajibu "Ndiyo namfahamu sana Huyu Mzee mwema; alikuja HAPA miaka 30 iliyopita tukampatia Mtoto yatima wa kiume akamlee maana Mtoto huyo hakuwa Na WAZAZI Na yeye Na mkewe hawakuwa wamebahatika kupata Mtoto"
Mabegi aliyokuwa kayashika mkononi yalidondoka, akasimama Hapo kimya bila kusema kitu ……
Kisa HIKI kinatoa funzo kubwa sana Kwa kila mtu kuhusu kuwajali Na kuwahudumia WAZAZI wetu…..
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_cdc804a5805c37424ea99eff5929fa04, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea mas...
Read More
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya ku...
Read More
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitat...
Read More
Mimi ni mwanamke mjane ninaishi mjini Arusha. Huu ni ushuhuda wangu wa mais...
Read More
Dada mmoja aliyejulikana kwa jina
la Angel, alikuwa anafanya
biashara...
Read More
Habari ya mama aliyeuguliwa ghafla na mtoto wake majira ya SAA 2 usiku, mtot...
Read More
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA"...
Read More
Maina (Guest) on July 21, 2024
Hdithi Nzuri,
Maina (Guest) on July 21, 2024
Nimeipenda,
Adam (Guest) on July 21, 2024
Hadithi tamu,
Adam (Guest) on July 21, 2024
Asnte
Musa (Guest) on July 21, 2024
Hdithi Nzuri,
Adam (Guest) on July 21, 2024
Nimeipenda,
Musa (Guest) on July 21, 2024
Hadithi tamu,
Paul (Guest) on July 21, 2024
Asnte