1. Huwezi kubadili namna watu walivyokutendea mpaka ubadili namna unavyowatendea.β
Matayo 7:12;
"Basi yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii."
β2. Huwezi kubadili tabia mpaka ubadili marafiki.β
1Wakorintho 15:33
"Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema."
β3. Huwezi kubadili ulichovuna mpaka ubadili ulichokipanda.β
Wagalatia 6:7;
"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna."
β4. Huwezi kubadili mwelekeo wa maisha yako mpaka ubadili dereva.β
Kutoka 23:1-3;
"Msivumishe habari za uongo; usishirikiane na mwovu kwa kuwa shahidi wa uongo. Usiwafuate walio wengi katika kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lolote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotosha hukumu; wala usimpendelee mtu mnyonge katika neno lake".
Maisha yako yaweza ongozwa na mkumbo wa watu au βMSIMAMOβ wako βBINAFSIβ kwa βUNACHOKIAMINI.β
β5. Huwezi kubadili hali yako ya kifedha mpaka ubadili tabia yako ya kifedha.β
Mithali 21:17;
Mtu apendaye anasa atakuwa maskini; yeyote apendaye mvinyo, kula na manukato hatakuwa tajiri."
βMtindo wa maisha ya ufukara ndiyo busara kwa wengi.β
β6. Huwezi kunibadili mpaka ujibadili mwenyewe.β
Matayo 7:3-5.
"Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huioni? Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako."
β7. Huwezi kubadili mtazamo wako wa kifikra mpaka ubadilipo usikiacho.β
Mithali 23:7;
"Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo.
Akuambia haya kula, kunywa; lakini moyo wake hauwi pamoja nawe."
β(Waache wenye Hekima wasikilize na kuongeza ufahamu wao.)β
Huyo anayesikiliza, huashiria na kuamua kile anachojifunza.
Kile unachojifunza, huashiria uelewa ulio nao kichwani mwako.
Uelewa ulionao kichwani mwako, huashiria maamuzi yako.
Na maamuzi yako, huashiria βmwelekeo wa maisha yako.β
Elizabeth Mrope (Guest) on March 31, 2024
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Peter Mwambui (Guest) on February 22, 2024
Mwamini katika mpango wake.
Samuel Omondi (Guest) on January 22, 2024
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
John Lissu (Guest) on January 1, 2024
Nakuombea π
James Malima (Guest) on August 21, 2023
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Edward Chepkoech (Guest) on July 26, 2023
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
George Ndungu (Guest) on July 25, 2023
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Elizabeth Malima (Guest) on April 30, 2023
Imani inaweza kusogeza milima
Joyce Aoko (Guest) on February 15, 2023
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Moses Mwita (Guest) on February 10, 2023
Nguvu hutoka kwa Bwana
Victor Sokoine (Guest) on December 4, 2022
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Agnes Lowassa (Guest) on November 4, 2022
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Paul Kamau (Guest) on October 5, 2022
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Joyce Aoko (Guest) on September 20, 2022
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Alice Wanjiru (Guest) on June 24, 2022
Mungu ni mwema, wakati wote!
Patrick Mutua (Guest) on April 19, 2022
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Ann Wambui (Guest) on March 12, 2022
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Anna Kibwana (Guest) on March 7, 2022
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Anna Mahiga (Guest) on March 4, 2022
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Lucy Mahiga (Guest) on February 9, 2022
Katika imani, yote yanawezekana
Fredrick Mutiso (Guest) on January 5, 2022
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Thomas Mtaki (Guest) on October 16, 2021
Rehema hushinda hukumu
Diana Mallya (Guest) on July 22, 2021
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Dorothy Majaliwa (Guest) on June 4, 2021
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Peter Otieno (Guest) on March 31, 2021
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Brian Karanja (Guest) on March 22, 2021
Sifa kwa Bwana!
Raphael Okoth (Guest) on March 16, 2021
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Victor Kamau (Guest) on January 30, 2021
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Peter Mwambui (Guest) on January 24, 2021
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Mary Mrope (Guest) on May 20, 2020
Baraka kwako na familia yako.
Mary Kendi (Guest) on April 11, 2020
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Alex Nakitare (Guest) on December 29, 2019
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
John Mwangi (Guest) on October 2, 2019
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Edwin Ndambuki (Guest) on March 20, 2019
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Irene Akoth (Guest) on January 5, 2019
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Anna Kibwana (Guest) on November 13, 2018
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Joy Wacera (Guest) on October 8, 2018
Tumaini ni nanga ya roho
Francis Mtangi (Guest) on June 21, 2018
Neema na amani iwe nawe.
Catherine Mkumbo (Guest) on January 15, 2018
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Thomas Mwakalindile (Guest) on January 4, 2018
Neema ya Mungu inatosha kwako
Mercy Atieno (Guest) on May 24, 2017
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
George Ndungu (Guest) on April 22, 2017
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Benjamin Kibicho (Guest) on January 29, 2017
Mwamini Bwana; anajua njia
Janet Sumaye (Guest) on January 24, 2017
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Frank Sokoine (Guest) on August 6, 2016
Rehema zake hudumu milele
Janet Mbithe (Guest) on April 25, 2016
Dumu katika Bwana.
Peter Mugendi (Guest) on April 24, 2016
Mungu akubariki!
Grace Mushi (Guest) on March 9, 2016
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Lydia Wanyama (Guest) on October 11, 2015
Endelea kuwa na imani!
Grace Minja (Guest) on May 25, 2015
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni