Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!
Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsAppβ¦!
_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._
β
_*Kisha nikaituma ile message*_
Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake⦠Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.
*Akatuma message akiniulizaβ¦*
_Hao wanawake unawajuwa, β¦mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweliβ¦!_
Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaaβ¦!
Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaaβ¦! Akaniandikia message nyingineβ¦.
*β¦Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupeβ¦ Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuriβ¦!*
Nami nikamjibuβ¦
_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipoβ¦!_
Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdaiβ¦!
Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaaβ¦. Kama sio mie!
Mgeni (Guest) on July 8, 2017
π€£ Kichekesho bora kabisa!
Josephine Nduta (Guest) on June 30, 2017
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Baridi (Guest) on April 27, 2017
π Hii ni ya kuhifadhi!
Simon Kiprono (Guest) on March 7, 2017
ππ€£ππ
Ruth Wanjiku (Guest) on March 1, 2017
π πππ
Mary Kendi (Guest) on February 10, 2017
Hii imenibamba sana! π π€£
Patrick Kidata (Guest) on February 3, 2017
π Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Mazrui (Guest) on January 26, 2017
Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! π°
Jacob Kiplangat (Guest) on January 26, 2017
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Dorothy Mwakalindile (Guest) on January 20, 2017
Haha, hii ni ya kuhifadhi! π
David Kawawa (Guest) on January 9, 2017
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! ππ
Agnes Lowassa (Guest) on December 23, 2016
ππππ
Irene Makena (Guest) on December 21, 2016
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! π
George Wanjala (Guest) on November 14, 2016
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! π
David Chacha (Guest) on November 3, 2016
Umeimaliza kabisa, kichekesho gani! π
Joyce Nkya (Guest) on September 3, 2016
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! ππ
Lydia Mahiga (Guest) on August 13, 2016
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! π€£
Faith Kariuki (Guest) on August 12, 2016
Hii imenichekesha sana! π€£π
Jane Malecela (Guest) on August 7, 2016
Ucheshi wa hali ya juu! ππ
Rose Mwinuka (Guest) on July 31, 2016
π€£ Hii imenigonga vizuri!
Amani (Guest) on July 14, 2016
π Hali imeboreshwa papo hapo!
Peter Mbise (Guest) on July 13, 2016
π Kichekesho kamili!
Khalifa (Guest) on June 26, 2016
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Dorothy Mwakalindile (Guest) on June 17, 2016
Nimefurahia hii sana! ππ
Benjamin Masanja (Guest) on June 8, 2016
π Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
Peter Mwambui (Guest) on May 31, 2016
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ππ
Nassor (Guest) on May 25, 2016
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! π
Charles Mrope (Guest) on May 24, 2016
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! π
Peter Mugendi (Guest) on May 20, 2016
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Anna Malela (Guest) on May 12, 2016
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! π€£π
Edith Cherotich (Guest) on April 17, 2016
πππ€£
David Chacha (Guest) on April 6, 2016
π€£ Nalia kwa kicheko kweli!
Monica Lissu (Guest) on April 5, 2016
π Ninaihifadhi kwa baadaye!
Vincent Mwangangi (Guest) on March 29, 2016
π€£πππ
Nora Lowassa (Guest) on March 19, 2016
ππ€£ππ
Anna Malela (Guest) on March 5, 2016
π Bado ninacheka!
Joseph Njoroge (Guest) on February 8, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Edith Cherotich (Guest) on February 5, 2016
ππ π
Ramadhan (Guest) on December 28, 2015
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Irene Akoth (Guest) on December 24, 2015
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ€£
Sarah Achieng (Guest) on December 18, 2015
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! βπ
David Kawawa (Guest) on December 12, 2015
Hii imenikuna hadi nina furaha! ππ
James Kimani (Guest) on November 27, 2015
π€£π€£ππ
Zulekha (Guest) on November 14, 2015
π Umenishika vizuri!
Andrew Odhiambo (Guest) on October 26, 2015
Hizi jokes zinabamba sana! ππ
Moses Mwita (Guest) on October 10, 2015
ππ
Dorothy Mwakalindile (Guest) on September 20, 2015
π€£ Ujuzi wa hali ya juu!
Charles Wafula (Guest) on September 10, 2015
π Imeongezwa kwenye vipendwa!
Violet Mumo (Guest) on August 14, 2015
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ππ
Francis Mrope (Guest) on August 5, 2015
Hii imenichekesha sana! ππ
Mwalimu (Guest) on August 2, 2015
π Nimeipenda kabisa hii!
Susan Wangari (Guest) on July 17, 2015
π€£ππ
Asha (Guest) on July 14, 2015
π Siwezi kuacha kucheka!
Lucy Mahiga (Guest) on July 12, 2015
ππ€£π
James Malima (Guest) on May 12, 2015
Nimefurahia sana hii! π π
Paul Kamau (Guest) on April 1, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π