Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
Babu: " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"
Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "
Babu; "Lakini hatukuyatumia"
Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"
Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"
Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"
Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"
Meneja akajibu; "Lakini sijalala"
Bibi :"ungeweza kama ungetaka"
Yusuf (Guest) on May 1, 2017
😂 Nimeipenda kabisa hii!
Lucy Kimotho (Guest) on April 27, 2017
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! 😂😅
Mariam Hassan (Guest) on April 14, 2017
Hii imenipa furaha ya siku! 😆👌
Alice Jebet (Guest) on April 11, 2017
Hii imenipa kicheko cha siku! 😂🤣
Shani (Guest) on February 28, 2017
🤣 Hiyo twist mwishoni, ingawa!
Anna Kibwana (Guest) on February 28, 2017
Hii imenigonga vizuri, punchline gani! 😆
Umi (Guest) on February 19, 2017
😄 Umeshinda mtandao leo!
Linda Karimi (Guest) on February 17, 2017
😂 Hii ni ya kuhifadhi!
Christopher Oloo (Guest) on January 26, 2017
🤣🤣😂
Frank Sokoine (Guest) on January 18, 2017
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🤣ðŸ˜
Alice Mwikali (Guest) on January 8, 2017
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😊😂
Joyce Nkya (Guest) on January 4, 2017
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! 😅
Baraka (Guest) on January 1, 2017
😄 Umeimaliza kabisa!
Joyce Mussa (Guest) on November 17, 2016
🤣 Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
Victor Malima (Guest) on October 30, 2016
😆 Nacheka hadi chini!
Joseph Kiwanga (Guest) on October 9, 2016
Hii imenikumbusha enzi zile! 😅😂
John Malisa (Guest) on September 27, 2016
😂 Kali sana!
Josephine Nduta (Guest) on September 19, 2016
😆😅😂
Amir (Guest) on September 9, 2016
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! 😆
Thomas Mtaki (Guest) on September 5, 2016
Ucheshi wa hali ya juu! 😂ðŸ‘
John Kamande (Guest) on August 20, 2016
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! 😂🤣
Jacob Kiplangat (Guest) on July 2, 2016
😃 Hali imeboreshwa papo hapo!
Mchuma (Guest) on June 20, 2016
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! 😂
David Ochieng (Guest) on June 9, 2016
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! 😂
Mary Kidata (Guest) on June 4, 2016
Hii imenichekesha sana! 😄😂
Mchuma (Guest) on June 4, 2016
😂 Nitaiiba hii bila shaka!
Lucy Wangui (Guest) on May 5, 2016
😄 Dhahabu ya vichekesho!
Peter Mwambui (Guest) on April 12, 2016
Hizi jokes ni za kipekee sana! 😆😊
Patrick Akech (Guest) on April 1, 2016
😂🤣
Nchi (Guest) on March 29, 2016
😠Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
Maneno (Guest) on March 14, 2016
Lazima niihifadhi hii, ni kichekesho kali sana! 😆
Lydia Wanyama (Guest) on February 25, 2016
😂 Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
Elizabeth Mrema (Guest) on February 23, 2016
Hii ni joke ya kipekee! 🤣👌
Joyce Nkya (Guest) on February 21, 2016
Hii ni joke ya kipekee sana! 😂ðŸ‘
Joseph Kiwanga (Guest) on February 4, 2016
ðŸ‘🤣😆😂
Sarah Karani (Guest) on February 4, 2016
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! ☕😆
Chris Okello (Guest) on February 3, 2016
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! 😊😂
Mhina (Guest) on January 15, 2016
Wow, hizi kichekesho ni dhahabu kabisa! 💰
Rose Waithera (Guest) on January 14, 2016
Nimecheka hadi nina furaha sana! 😊😂
Catherine Mkumbo (Guest) on January 5, 2016
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! 😂😅
Mariam Kawawa (Guest) on November 14, 2015
😂👌😆😊
Raphael Okoth (Guest) on September 30, 2015
😆 Kali sana!
Benjamin Masanja (Guest) on September 27, 2015
Nimefurahia sana hii! 😅😊
Grace Njuguna (Guest) on September 25, 2015
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! 😃
Catherine Naliaka (Guest) on September 2, 2015
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! 😂🤣
Mchuma (Guest) on August 20, 2015
Haha, hii ni ya kuhifadhi! 📌
Francis Njeru (Guest) on August 16, 2015
Hii imenikuna hadi nina furaha! 😊😂
Mjaka (Guest) on August 13, 2015
😅 Nilihitaji kicheko hiki, asante!
Rose Amukowa (Guest) on July 27, 2015
Hii imenibamba sana! 😂😅
Lucy Kimotho (Guest) on June 28, 2015
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! 😆ðŸ‘
Kijakazi (Guest) on June 21, 2015
😄 Kali sana!
Tabitha Okumu (Guest) on June 17, 2015
Hii imenifurahisha sana! 😂😂
Dorothy Nkya (Guest) on June 7, 2015
😂😂🤣
Richard Mulwa (Guest) on May 29, 2015
🤣 Ninashiriki hii na kila mtu!
Ruth Wanjiku (Guest) on May 9, 2015
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! 😂ðŸ‘
David Nyerere (Guest) on May 6, 2015
😄😅ðŸ‘😂
Mary Kidata (Guest) on April 29, 2015
😄 Kichekesho kamili!
Catherine Naliaka (Guest) on April 20, 2015
Nimeipenda hii joke! 😄😂