Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea mbele ya Mungu. Kwa kuwa kwa Mungu hakuna kusema, 'Kukosea mara moja sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa'. Mbele ya Mungu kila kosa lina uzito wake haijalishi ni kosa la mara ya kwanza.

Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea
Date: April 5, 2022
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts

Uzuri wa Mungu
Uzuri wa Mungu ni kwamba anasamehe na kisha anasahau. Unapotubu dhambi zako na kutaka huruma zake... Read More

Njia ya Kumtafuta Mungu
Mungu ni rahisi sana kupatikana. Ugumu ni njia ya Kumtafuta Mungu na namna ya kumuishi Mungu. Hap... Read More

Upendo wa KiMungu
Huwezi kusema unampenda Mungu usiyemuona kama huwapendi watu wale unaowaona. Mpende jirani yako k... Read More

Sifa za Sala yeyote
Sala yoyote ili iwe SALA lazima itolewe kwa Imani, Upendo, Unyenyekevu na kwa Matumaini. Sala kam... Read More

Kutubu na Kusamehewa dhambi
Usiogope wala usisite kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu. Uwe na Amani na Matumaini katika Huruma... Read More

Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu
Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu kama hajichukii yeye mwenyewe na wale wanaomzunguka. Huwezi ku... Read More

Mungu anasubiri sala zako
Mungu anasubiri sala zako kila siku. Anasubiri sala zako akujibu ili uone utukufu wake. Anasubiri... Read More

Mungu ni Mwaminifu
Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwa... Read More

Sala za kila siku
Sala za kila siku katika maisha ndiyo hazina kubwa na msaada hasa wakati wa kufa. Adumuye katika ... Read More

Upendo wa Mungu hauna mwisho
Upendo wa Mungu hauna mwisho. Mtu anaweza akaacha kukupenda na kukusahau kabisa lakini kamwe Mung... Read More

Upendo na chuki havitangamani
Upendo wa kweli hauambatani na chuki. Huwezi kusema una Upendo wakati kuna watu wengine unawapend... Read More
George Wanjala (Guest) on May 25, 2024
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Andrew Odhiambo (Guest) on May 1, 2024
Rehema zake hudumu milele
Grace Mushi (Guest) on April 16, 2024
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Jacob Kiplangat (Guest) on November 20, 2023
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Elizabeth Mtei (Guest) on September 27, 2023
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Frank Macha (Guest) on June 6, 2023
Dumu katika Bwana.
Elizabeth Malima (Guest) on March 6, 2023
Mwamini Bwana; anajua njia
Dorothy Mwakalindile (Guest) on March 2, 2023
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Michael Mboya (Guest) on January 3, 2023
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Irene Akoth (Guest) on December 3, 2022
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Hellen Nduta (Guest) on November 1, 2022
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Lydia Mahiga (Guest) on August 24, 2022
Nakuombea 🙏
Josephine Nekesa (Guest) on June 19, 2022
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Dorothy Nkya (Guest) on March 31, 2022
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Simon Kiprono (Guest) on February 19, 2022
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Joyce Mussa (Guest) on January 20, 2022
Katika imani, yote yanawezekana
Ruth Wanjiku (Guest) on November 21, 2021
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
George Ndungu (Guest) on September 7, 2021
Mungu ni mwema, wakati wote!
Grace Wairimu (Guest) on April 7, 2021
Tumaini ni nanga ya roho
Samuel Omondi (Guest) on March 31, 2021
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Lucy Kimotho (Guest) on September 9, 2020
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Betty Cheruiyot (Guest) on February 17, 2020
Nguvu hutoka kwa Bwana
Monica Lissu (Guest) on January 21, 2020
Rehema hushinda hukumu
Janet Wambura (Guest) on January 6, 2020
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Sharon Kibiru (Guest) on December 23, 2019
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Philip Nyaga (Guest) on December 1, 2019
Sifa kwa Bwana!
David Chacha (Guest) on August 26, 2019
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Elizabeth Mtei (Guest) on May 8, 2019
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Alex Nyamweya (Guest) on March 26, 2019
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Agnes Njeri (Guest) on December 31, 2018
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Patrick Mutua (Guest) on December 25, 2018
Neema ya Mungu inatosha kwako
Elizabeth Mtei (Guest) on December 7, 2018
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Monica Lissu (Guest) on December 3, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Alice Wanjiru (Guest) on October 3, 2018
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Sarah Achieng (Guest) on August 21, 2018
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Lucy Mushi (Guest) on August 8, 2018
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Michael Onyango (Guest) on May 31, 2018
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Linda Karimi (Guest) on April 23, 2018
Imani inaweza kusogeza milima
Lucy Kimotho (Guest) on August 7, 2017
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Joyce Nkya (Guest) on April 4, 2017
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Paul Kamau (Guest) on September 11, 2016
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Alex Nyamweya (Guest) on August 23, 2016
Baraka kwako na familia yako.
Thomas Mtaki (Guest) on July 23, 2016
Endelea kuwa na imani!
John Mwangi (Guest) on May 19, 2016
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Janet Sumari (Guest) on March 23, 2016
Neema na amani iwe nawe.
Peter Mugendi (Guest) on February 17, 2016
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Martin Otieno (Guest) on October 16, 2015
Mungu akubariki!
Peter Mbise (Guest) on August 14, 2015
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Elizabeth Mtei (Guest) on July 2, 2015
Mwamini katika mpango wake.
Elizabeth Mrema (Guest) on June 25, 2015
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha