Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatuma
watoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara na
hata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji wa dawa za kulevya ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na sio uamuzi binafsi wa kifamilia.

Je, kama wazazi watawapa dawa za kulevya watoto wao watashitakiwa kisheria?

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!