8 Desemba β Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari β Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi β Bikira Maria Kupashwa Habari 15 Agosti β Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni

Heshima za Liturujia kwa Bikira Maria

Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:
Sherehe
8 Desemba β Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari β Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi β Bikira Maria Kupashwa Habari 15 Agosti β Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni
8 Desemba β Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili 1 Januari β Bikira Maria Mama wa Mungu 25 Machi β Bikira Maria Kupashwa Habari 15 Agosti β Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni
31 Mei β Maamkio ya Bikira Maria 8 Septemba β Kuzaliwa kwa Bikira Maria
Juni β Moyo Safi wa Maria 15 Septemba β Mama Yetu wa Huzuni 22 Agosti β Bikira Maria Malkia 7 Oktoba β Bikira Maria wa Rozari 21 Novemba β Bikira Maria Kutolewa Hekaluni
11 Februari β Bikira Maria wa Lurdi 13 Mei β Bikira Maria wa Fatima 16 Julai β Bikira Maria wa Mlima Karmeli 5 Agosti β Kutabaruku Kanisa la Bikira Maria 12 Septemba β Jina takatifu la Maria 12 Desemba β Bikira Maria wa Guadalupe
Tena kila Jumamosi isiyo na adhimisho maalumu, Kanisa huadhimisha kumbukumbu ya Mama wa Mungu.
Pia zipo heshima za binafsi kwa Bikira Maria: mashariki zinatumika tenzi na nyimbo mbalimbali, k.mf. Akatistos inayomuita βdaraja linalounganisha dunia na mbinguβ, βngazi aliyoiona Yakoboβ βkina kisichochunguzika kwa macho ya malaikaβ (Mwa 28:12); magharibi]] anaheshimiwa kwa rozari.
Wakristo wanaomheshimu Bikira Maria hawamuabudu hata kidogo, lakini wanamtolea heshima ya juu kuliko watakatifu wengine. Tofauti ni kwamba Mungu tu anastahili kuabudiwa (kwa Kigiriki, βlatriaβ) watakatifu wanapewa heshima (βduliaβ) na Bikira Maria heshima zaidi (βyuper-duliaβ). Kanisa Katoliki linakiri neema zote za Mungu zinampitia Maria.
Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
Stephen Malecela (Guest) on July 19, 2024
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Andrew Mahiga (Guest) on May 24, 2024
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Josephine Nduta (Guest) on April 1, 2024
Sifa kwa Bwana!
Elizabeth Mrema (Guest) on March 22, 2024
Mungu akubariki!
Stephen Amollo (Guest) on February 28, 2024
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Samson Tibaijuka (Guest) on October 2, 2023
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Patrick Kidata (Guest) on September 26, 2023
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
James Kimani (Guest) on September 7, 2023
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Victor Malima (Guest) on September 2, 2023
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Victor Mwalimu (Guest) on July 1, 2023
Mungu ni mwema, wakati wote!
David Sokoine (Guest) on March 15, 2023
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Josephine Nekesa (Guest) on November 25, 2022
Mwamini katika mpango wake.
Edward Lowassa (Guest) on October 28, 2022
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Paul Kamau (Guest) on August 10, 2022
Neema ya Mungu inatosha kwako
Alex Nyamweya (Guest) on August 9, 2021
Katika imani, yote yanawezekana
Francis Njeru (Guest) on May 24, 2021
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Alex Nakitare (Guest) on March 9, 2021
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Catherine Mkumbo (Guest) on February 18, 2021
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Lucy Wangui (Guest) on August 25, 2020
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Rose Mwinuka (Guest) on June 4, 2020
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Lucy Kimotho (Guest) on May 16, 2020
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Brian Karanja (Guest) on May 8, 2020
Mwamini Bwana; anajua njia
Alice Jebet (Guest) on December 20, 2019
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Victor Mwalimu (Guest) on September 18, 2019
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Emily Chepngeno (Guest) on May 2, 2019
Nguvu hutoka kwa Bwana
Irene Akoth (Guest) on April 21, 2019
Rehema hushinda hukumu
Anna Malela (Guest) on March 7, 2019
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Peter Mugendi (Guest) on January 24, 2019
Dumu katika Bwana.
Grace Njuguna (Guest) on January 19, 2019
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Stephen Amollo (Guest) on August 25, 2018
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Diana Mumbua (Guest) on June 3, 2018
Endelea kuwa na imani!
Thomas Mwakalindile (Guest) on April 26, 2018
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Samuel Were (Guest) on January 31, 2018
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Chris Okello (Guest) on January 21, 2018
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Joseph Mallya (Guest) on January 5, 2018
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Margaret Mahiga (Guest) on December 17, 2017
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Simon Kiprono (Guest) on October 29, 2017
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Mary Mrope (Guest) on August 29, 2017
Rehema zake hudumu milele
Joseph Kiwanga (Guest) on May 7, 2017
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Samson Tibaijuka (Guest) on March 21, 2017
Baraka kwako na familia yako.
Victor Malima (Guest) on March 5, 2017
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Anna Kibwana (Guest) on December 19, 2016
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Rose Waithera (Guest) on November 19, 2016
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Simon Kiprono (Guest) on June 27, 2016
Neema na amani iwe nawe.
Ruth Mtangi (Guest) on December 23, 2015
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
David Kawawa (Guest) on December 20, 2015
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Peter Mwambui (Guest) on December 10, 2015
Imani inaweza kusogeza milima
Nancy Kawawa (Guest) on October 9, 2015
Nakuombea π
David Nyerere (Guest) on July 17, 2015
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Mary Kendi (Guest) on July 5, 2015
Tumaini ni nanga ya roho