1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]
1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi?
2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking?
4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwakoβ¦
2.Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
3.Siri Baba: mwanangu, enhe shika hii 500Tsh usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl. Mtoto: sitaki, tatizo we baba ni mbahiri sana mwenzio mama akilala na dereva ananipaga 1,000Tsh.
4.Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA:
WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake
WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform
WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi
WAPEMBA: Mama Ali panua paja mti waja!
WAZARAMO(hamna tafsida)andaa k*#, m*$$ yaja
5.Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
6.Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaaβ¦β¦!
7.Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"
8.Mchaga. Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi⦠Wamefunga duka?
9. Kimombo na sms Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"
10.Vibweka vya housegirl Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?" Ndipo hoousgirl akadakia na kusema "mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo."
Lydia Wanyama (Guest) on December 8, 2021
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ
Zakia (Guest) on December 7, 2021
π Nilihitaji kicheko hicho!
Monica Nyalandu (Guest) on December 4, 2021
π Umeshinda mtandao leo!
Ibrahim (Guest) on November 22, 2021
Haha, hii ni ya kuhifadhi! π
Nahida (Guest) on October 23, 2021
π€£ Hiyo twist mwishoni, ingawa!
Lucy Kimotho (Guest) on October 10, 2021
π Ninaihifadhi hii!
Alex Nakitare (Guest) on September 19, 2021
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! π€£
Rose Lowassa (Guest) on September 2, 2021
ππ
Moses Mwita (Guest) on August 28, 2021
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ€£
David Kawawa (Guest) on August 27, 2021
π Bado nacheka!
Irene Makena (Guest) on August 26, 2021
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Anthony Kariuki (Guest) on June 7, 2021
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ€£
Dorothy Mwakalindile (Guest) on June 4, 2021
Kila siku napenda jokes zenu! ππ
Patrick Mutua (Guest) on May 30, 2021
ππ
David Kawawa (Guest) on May 25, 2021
π Nilihitaji kicheko hiki, asante!
Alice Mwikali (Guest) on May 22, 2021
ππ€£ππ
Rukia (Guest) on May 14, 2021
π Umenishika vizuri!
Richard Mulwa (Guest) on April 22, 2021
π€£π€£ππ
Maimuna (Guest) on April 11, 2021
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Edwin Ndambuki (Guest) on April 9, 2021
Hii imenifurahisha sana! ππ
Stephen Amollo (Guest) on March 8, 2021
π Ninashiriki mara moja!
Monica Adhiambo (Guest) on March 7, 2021
πππ€£
Nora Kidata (Guest) on February 12, 2021
π Sikutarajia hiyo ikitokea!
Mwalimu (Guest) on January 21, 2021
π Hali imeboreshwa papo hapo!
Nancy Akumu (Guest) on January 13, 2021
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Rubea (Guest) on December 24, 2020
π Lazima nihifadhi hii!
Moses Kipkemboi (Guest) on November 23, 2020
Hii ni dhahabu ya vichekesho! π
Dorothy Nkya (Guest) on October 26, 2020
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Anna Kibwana (Guest) on September 22, 2020
Umesema kweli! ππ
Patrick Kidata (Guest) on September 16, 2020
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
John Lissu (Guest) on September 10, 2020
π€£π€£ππ
David Ochieng (Guest) on July 17, 2020
Napenda jinsi mnavyofikiria! π€π
Andrew Mchome (Guest) on July 16, 2020
π Hii ni hazina ya kichekesho!
Joseph Kitine (Guest) on July 14, 2020
π Kali sana!
Stephen Kikwete (Guest) on July 12, 2020
ππππ
George Mallya (Guest) on May 31, 2020
π Nacheka hadi nalia!
Rose Lowassa (Guest) on May 20, 2020
ππ€£ππ
Victor Sokoine (Guest) on February 24, 2020
π Ninacheka sana sasa hivi!
David Chacha (Guest) on February 24, 2020
π Siwezi kusubiri kushiriki hii!
Joyce Mussa (Guest) on February 24, 2020
π ππ
Catherine Naliaka (Guest) on December 28, 2019
Nimeipenda hii joke! ππ
Alice Mwikali (Guest) on December 14, 2019
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! π
Francis Njeru (Guest) on October 29, 2019
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ππ
Janet Mbithe (Guest) on October 24, 2019
ππ€£π₯
Josephine Nduta (Guest) on October 5, 2019
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! π
Stephen Mushi (Guest) on September 11, 2019
Nimefurahia hii sana! ππ
Janet Sumaye (Guest) on August 23, 2019
Kweli ni jokes za ukweli! ππ
Joseph Kiwanga (Guest) on August 18, 2019
ππ€£π
John Kamande (Guest) on August 7, 2019
Hii ni ya kufurahisha sana! ππ
Umi (Guest) on August 3, 2019
π€£ Hiyo punchline ilikuwa haikutarajiwa!
Henry Sokoine (Guest) on June 24, 2019
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Victor Kimario (Guest) on June 18, 2019
π€£π₯π
Henry Mollel (Guest) on June 15, 2019
π Nalia kwa kweli hapa!
Rukia (Guest) on May 24, 2019
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! π
Lucy Mahiga (Guest) on May 22, 2019
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ππ€£
Lucy Mahiga (Guest) on May 21, 2019
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Joseph Kiwanga (Guest) on April 15, 2019
π Hali imeboreshwa papo hapo!
Neema (Guest) on April 13, 2019
π Bado nacheka, siwezi kuacha!
Grace Njuguna (Guest) on March 10, 2019
Nimecheka hadi nina furaha sana! π€£π
Grace Majaliwa (Guest) on February 21, 2019
π πππ