Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f601c50840e49e6837cbc7236fc971e0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Date: March 27, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viamba upishi
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi
Hatua
β’ Chambua mashona nguo mateke, osha na katakata.
β’ Menya osha na katakata kitunguu.
β’ Osha, menya na katakata nyanya.
β’ Kaanga karanga, ondoa maganda na saga zilainike.
β’ Kuna nazi na chuja tui.
β’ Kanga kitunguu, weka nyanya na koroga mpaka zilainike.
β’ Weka mashona nguo na chumvi kisha koroga sawa sawa,
funikiakwa dakika 5 -10.
β’ Changanya tui la nazi na karanga, ongeza kwenye hizo mboga
ukikoroga kwa dakika 5, punguza moto ili ziive taratibu.
β’ Onja chumvi na pakua kama kitoweo.
Uwezekano
Changanya mnavu, mgagani, mashonanguo kidogo ki¬dogo au
mboga nyingme.
Tumia maziwa au krimu badala ya tui la nazi.
Weka nyama au dagaa au samaki au mayai badala ya - karanga.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f601c50840e49e6837cbc7236fc971e0, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Viambaupishi
Unga 300gm
Siagi 225gm
Icing Sugar 60gm
Chokoleti iliyokoz...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga wa ngano 1Β 1/2 Kikombe
Baking powder 1 Kijiko cha chai
Bak...
Read More
Mahitaji
Unga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)
Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)
H...
Read More
MAHITAJI
Maji baridi β kikombe 1
Biskuti za kawaida β paketi 2
Kaukau (co...
Read More
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban y...
Read More
Mahitaji
Maharage (beans 2 vikombe vya chai)
Nazi (coconut milk kiasi)
Vitunguu...
Read More
Mahitaji
Mchele - 2 vikombe
Adesi -1 Β½ vikombe
Nazi ya unga - 1 Kikombe
<...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga 6 Vikombe
Sukari ya kusaga 2 vikombe
Siagi 500 gm
Bak...
Read More
MAHITAJI
Unga kikombe 1 Β½
Siagi Β½ kikombe
Sukari Β½ kikombe
Yai 1
...
Read More
Mahitaji
Bilinganya 2 za wastani
Nyanya kubwa 1
Kitunguu maji 1 kikubwa
Sw...
Read More
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababi...
Read More
VIAMBAUPISHI VYA TUNA
Tuna (samaki/jodari) - 2 Vikopo
Vitunguu (kata kata) - 4
<...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!