Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f84f7ad6b7f874092290f2b4d13b976d, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Jinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za Mchicha
Date: June 30, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viamba upishi
Unga ngano vikombc 3
Unga mbegu za mchicha kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Maziwa kikombe 1
Sukari kikombe 1
Blue band kikombe Β½
Mayai 10-12
Hatua
β’ Chagua, osha, kausha mbegu za mchicha mweupe, kisha saga zilainike.
β’ Chekecha unga wa ngano, unga wa mbegu za mchicha na baking powder Kwenye bakuli kubwa.
β’ Ongeza sukari na changanya.
β’ Ongeza mayai kidogo, kidogo ukikoroga na mwiko kwenda njia moja mpaka ilainike.
β’ Kama rojo ni zito ongeza mayai, au maziwa ili iwe laini, ongeza vanilla na koroga.
β’ Paka mafuta kwenye chombo cha kuoka au sufuria na chekechea unga kidogo.
β’ Mimina rojo ya keki na oka kwenye oveni au kama ni sufuria funika, weka moto mwingi juu, chini weka moto kidogo.
β’ Ukinusia harufu nzuri ya vanilla, funua, choma kisu katikati ya keki, kama ni kavu epua, pozesha na pakua kama kitafunio.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f84f7ad6b7f874092290f2b4d13b976d, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mahitaji
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
L...
Read More
Vidokezo 10 vya Vitafunio vya Afya kwa Watoto Wagumu Kula
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi...
Read More
Viambaupishi
Mchele wa basmati - 3 vikombe
Kuku - Β½
Bilingani - 2 ya kiasiRead More
Mahitaji
Unga wa ngano (nusu kilo)
Sukari (Kikombe 1 cha chai)
Chumvi (nusu kij...
Read More
Mahitaji
Kupata takriban gilasi 6
Mabungo - 3
Maji - 6 au 7 Gi...
Read More
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.
Mahitaji
Majani ya ...
Read More
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababi...
Read More
Mahitaji
Unga wa ngano (plain flour) ( 1/4 kilo)
Yai (egg 1)
Sukari (sugar 1/4 ...
Read More
VIAMBAUPISHI
Unga - 6 vikombe
Samli - Β½kikombe
Baking Powder - Β½kijiko cha ...
Read More
Mahitaji
Kupata takriban gilasi 6
Mabungo - 3
Maji - 6 au 7 Gi...
Read More
Viambaupishi: Wali
Mchele 3 Magi
Mafuta 1/4 kikombe
Karoti unakata refu refu ...
Read More
Jinsi ya Kujiandaa kwa Chakula cha Afya Ukiwa Safarini ππ₯ͺπ«
Kuwa na lishe bora ni ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!