Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii inaitwa βNystagmusβ.
Albino hawezi kudhibiti hali hii. Wakati jicho moja linalenga
mahali lingine huwa linacheza na hii inafanya kuona sawasawa
kuwa kugumu.

Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!