Lengo kuu la kujamiiana ni kutafuta watoto. Lakini si sababu pekee. Sababu hizo ni pamoja na;
- kupata starehe,
- kujiburudisha,
- kupoteza mawazo,
- kujenga na kudumisha uhusiano na hisia za kupendana,
- kuhitajiana,
Hata hivyo ni muhimu sana kuzingatia uzazi wa mpango. Ili kuleta raha katika tendo la kujamiiana na kuzuia mimba isiyotakiwa na kuzaa mtoto ambaye mtashindwa kumlea ni lazima kutumia uzazi wa mpango.
Tumia njia za kupanga uzazi kama hamtaki kupata mimba! Au kwa usalama zaidi tumia kondomu ambayo ni kinga ya mimba na maambukizi mengine yanayosababishwa na ngono.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!