Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Biblia inatuambia nini kuhusu pombe?

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Angalizo; Tunapoongelea kuhusu pombe sio kwamba tunahamasisha kutumia pombe bali tuelewe kile tunachofanya kwa mapenzi ya Mungu! pombe haikukataliwa ila itumike kwa kiasi. Mhubiri 9:7 Wewe enenda zako, ule chakula chako kwa furaha, unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka; kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako. Tito 2:3 Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema; 1Timotheo 5:21,23 "21 Nakuamuru mbele ya Mungu, mbele ya Kristo Yesu na mbele ya malaika watakatifu, uyazingatie maagizo haya bila kuacha hata moja, wala kumpendelea mtu yeyote katika kila unachotenda. 23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara. Yoshua Bin Sira 31:25-29 "25 Usijionyeshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana imewaangamiza wengi. 26 Tanuru hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27 Pombe ni kama uhai kwa mtu akinywa kwa kiasi, Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu. 28 Kunywa pombe kwa wakati wake na kwa kiasi, kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni. 29 Lakini kunywa pombe kupita kiasi, kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha." Wakolosai 2:16-18a "kwa hiyo basi, msikubali kupewa masharti na mtu yeyote kuhusu VYAKULA au VINYWAJI, siku za sherehe, sikukuu ya mwezi mpya au sabato. 17 mambo ya namna hiyo ni kivuli cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye kristo. 18 msikubali kuhukumiwa na mtu anayejitakia kuwa wa maana kwa sababu ya maono ya pekeeโ€ฆ." Luka 7:31-35 "31 Yesu akaendelea kusema, "Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani? 32 Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: 'Tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!' 33 Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: 'Amepagawa na pepo!' 34 Naye mwana wa Mtu amekuja anakula na kunywa, nanyi mkasema: 'Mwangalieni mlafi huyu na mlevi; rafiki ya watoza ushuru na wenye dhambi!' 35 Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali." #Note; mvyinyo itumike kwa kiasi, kama huwezi kutumia kwa kiasi, ni afadhali kuacha kabisa.
AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 50

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Alice Mwikali Guest Jun 16, 2024
Rehema zake hudumu milele
๐Ÿ‘ฅ Grace Mushi Guest Feb 9, 2024
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
๐Ÿ‘ฅ Ruth Mtangi Guest Jan 3, 2024
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
๐Ÿ‘ฅ Stephen Malecela Guest Oct 20, 2023
Tumaini ni nanga ya roho
๐Ÿ‘ฅ Joyce Mussa Guest Aug 4, 2023
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
๐Ÿ‘ฅ Stephen Mushi Guest Mar 28, 2023
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
๐Ÿ‘ฅ Nora Kidata Guest Jan 18, 2023
Baraka kwako na familia yako.
๐Ÿ‘ฅ Grace Wairimu Guest Dec 25, 2022
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
๐Ÿ‘ฅ Ann Awino Guest Jun 5, 2022
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
๐Ÿ‘ฅ Agnes Sumaye Guest Apr 17, 2022
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
๐Ÿ‘ฅ Lucy Wangui Guest Sep 22, 2021
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
๐Ÿ‘ฅ Charles Wafula Guest Aug 18, 2021
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Janet Sumaye Guest Aug 14, 2021
Tembea kwa imani, si kwa kuona
๐Ÿ‘ฅ Ann Awino Guest May 14, 2021
Nakuombea ๐Ÿ™
๐Ÿ‘ฅ Patrick Kidata Guest Oct 3, 2020
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
๐Ÿ‘ฅ Chris Okello Guest Sep 19, 2020
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
๐Ÿ‘ฅ Simon Kiprono Guest Sep 16, 2020
Mwamini Bwana; anajua njia
๐Ÿ‘ฅ Grace Minja Guest Jun 28, 2020
Nguvu hutoka kwa Bwana
๐Ÿ‘ฅ Alice Wanjiru Guest May 29, 2020
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
๐Ÿ‘ฅ Josephine Nekesa Guest Apr 5, 2020
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
๐Ÿ‘ฅ Charles Mboje Guest Feb 25, 2020
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
๐Ÿ‘ฅ Catherine Naliaka Guest Dec 25, 2019
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Diana Mallya Guest Dec 15, 2019
Mwamini katika mpango wake.
๐Ÿ‘ฅ Victor Malima Guest Nov 14, 2019
Endelea kuwa na imani!
๐Ÿ‘ฅ Grace Mligo Guest Jul 30, 2019
Kwa Mungu, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Victor Sokoine Guest May 2, 2019
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
๐Ÿ‘ฅ Anna Kibwana Guest Apr 21, 2019
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
๐Ÿ‘ฅ Peter Mbise Guest Feb 20, 2019
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Nkya Guest Feb 5, 2019
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
๐Ÿ‘ฅ Grace Njuguna Guest Nov 12, 2018
Sifa kwa Bwana!
๐Ÿ‘ฅ Patrick Kidata Guest Aug 7, 2018
Katika imani, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Mary Njeri Guest Jul 5, 2018
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
๐Ÿ‘ฅ Ruth Wanjiku Guest May 18, 2018
Imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Peter Mwambui Guest Dec 20, 2017
Neema na amani iwe nawe.
๐Ÿ‘ฅ Elizabeth Mtei Guest Nov 13, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
๐Ÿ‘ฅ Patrick Akech Guest Jul 26, 2017
Neema ya Mungu inatosha kwako
๐Ÿ‘ฅ Joyce Nkya Guest Jun 26, 2017
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
๐Ÿ‘ฅ Henry Mollel Guest Mar 17, 2017
Mungu akubariki!
๐Ÿ‘ฅ Mary Njeri Guest Feb 19, 2017
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
๐Ÿ‘ฅ Margaret Anyango Guest Dec 24, 2016
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
๐Ÿ‘ฅ Grace Majaliwa Guest Oct 8, 2016
Dumu katika Bwana.
๐Ÿ‘ฅ Tabitha Okumu Guest Oct 7, 2016
Mungu ni mwema, wakati wote!
๐Ÿ‘ฅ Jane Malecela Guest Jul 27, 2016
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
๐Ÿ‘ฅ Samson Tibaijuka Guest Apr 22, 2016
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
๐Ÿ‘ฅ Francis Mtangi Guest Mar 30, 2016
Wakati wa Mungu ni kamilifu
๐Ÿ‘ฅ Alice Jebet Guest Mar 25, 2016
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
๐Ÿ‘ฅ James Malima Guest Jan 23, 2016
Rehema hushinda hukumu
๐Ÿ‘ฅ Stephen Kangethe Guest Dec 27, 2015
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
๐Ÿ‘ฅ Moses Mwita Guest Jul 12, 2015
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
๐Ÿ‘ฅ Alice Jebet Guest Jun 15, 2015
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About