Ninapoingia kanisani nachovya maji ya baraka na kusema;
"Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!
Ninapiga goti huku nikisema
"Mungu wangu na Bwana wangu"
ππ½Nikiinuka nasema
"Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu"
ππ½Naenda mpaka kwenye bench, napiga magoti au nakaa nikiwa mimeinamisha kichwa (kama mabenchi yameisha nabaki nimejisimamia) huku nikitoa nia yangu ya kusali misa siku hiyo, mfano
"Ee Mungu, ninaungana nawe na jeshi lote la mbinguni, pamoja na Mama Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye mpaka sasa hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani, Mungu kupitia misa hii rejesha hali ya mama yangu, rejesha uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani"
ππ½Ninaendelea na misa na Kushiriki litrujia kikamilifu
ππ½Wakati wa komunyo nikikumbuka kuwa nina dhambi kubwa huwa nakominika kwa sala ya tamaa wala siendi mbele, huwa najikalia tu kwenye bench naangalia wenye moyo safi wanaenda mbele kumpokea Yesu (Kweli huwa najisikia wivu sana, itanibidi katikati ya wiki nifanye kitubio ili nisikae tena)"
ππ½Mwisho wakati wa kuondoka nachovya maji ya baraka nikisema
"Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu"
(Hapo nachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya msalaba) "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, amina"
Usiku mwema wapendwa. Malaika awalinde
Lydia Mahiga (Guest) on July 19, 2024
Mwamini Bwana; anajua njia
George Mallya (Guest) on July 13, 2024
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Stephen Mushi (Guest) on January 20, 2024
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Nancy Akumu (Guest) on November 20, 2023
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Frank Sokoine (Guest) on November 4, 2023
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Lydia Mutheu (Guest) on September 30, 2023
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Catherine Naliaka (Guest) on September 18, 2023
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
John Mwangi (Guest) on June 7, 2023
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Ruth Wanjiku (Guest) on April 2, 2023
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Lucy Kimotho (Guest) on January 18, 2023
Neema ya Mungu inatosha kwako
Andrew Mahiga (Guest) on November 16, 2022
Imani inaweza kusogeza milima
Brian Karanja (Guest) on November 16, 2022
Nguvu hutoka kwa Bwana
Lydia Mutheu (Guest) on October 11, 2022
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Peter Mbise (Guest) on June 10, 2022
Sifa kwa Bwana!
David Ochieng (Guest) on April 19, 2022
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Stephen Mushi (Guest) on December 25, 2021
Nakuombea π
Grace Njuguna (Guest) on September 15, 2021
Mwamini katika mpango wake.
Robert Okello (Guest) on July 7, 2021
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Lydia Mutheu (Guest) on July 1, 2021
Mungu akubariki!
Rose Kiwanga (Guest) on June 21, 2021
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Joy Wacera (Guest) on June 21, 2021
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Samuel Omondi (Guest) on April 21, 2021
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
George Ndungu (Guest) on November 12, 2020
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Andrew Odhiambo (Guest) on July 23, 2020
Rehema zake hudumu milele
Anna Malela (Guest) on July 17, 2020
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
James Malima (Guest) on December 26, 2019
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Fredrick Mutiso (Guest) on September 25, 2019
Dumu katika Bwana.
Benjamin Masanja (Guest) on August 6, 2019
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Mary Mrope (Guest) on June 10, 2019
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Rose Lowassa (Guest) on March 17, 2019
Baraka kwako na familia yako.
Paul Ndomba (Guest) on January 10, 2019
Neema na amani iwe nawe.
Thomas Mwakalindile (Guest) on November 19, 2018
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Fredrick Mutiso (Guest) on November 15, 2018
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Rose Waithera (Guest) on October 3, 2018
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Carol Nyakio (Guest) on September 10, 2018
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Kenneth Murithi (Guest) on August 25, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Nancy Kabura (Guest) on July 27, 2018
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Vincent Mwangangi (Guest) on October 26, 2017
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Jackson Makori (Guest) on June 6, 2017
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Samson Tibaijuka (Guest) on May 17, 2017
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Thomas Mtaki (Guest) on September 29, 2016
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Betty Kimaro (Guest) on July 6, 2016
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Alice Wanjiru (Guest) on June 27, 2016
Rehema hushinda hukumu
Hellen Nduta (Guest) on April 14, 2016
Endelea kuwa na imani!
Thomas Mwakalindile (Guest) on April 8, 2016
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Nancy Akumu (Guest) on November 13, 2015
Katika imani, yote yanawezekana
Alice Wanjiru (Guest) on October 25, 2015
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
George Wanjala (Guest) on June 9, 2015
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Benjamin Masanja (Guest) on May 20, 2015
Mungu ni mwema, wakati wote!
Victor Sokoine (Guest) on May 5, 2015
Tumaini ni nanga ya roho