Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_d91a832e16cf3e9478578045ac83ba53, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/display_user.php on line
4
Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga
Date: March 27, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Viamba upishi
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima)
Hatua
β’ Osha boga, Kata, ondoa mbegu, kisha kata vipande vikubwa, chemsha na maji mpaka vilainike.
β’ Kwangua boga la ndani ukiacha maganda na ponda sawasawa.
β’ Chekecha unga (kila kikombe 1, vijiko vidogo 2 vya baking powder) kwenye bakuli kubwa.
β’ Ongeza blue band na changanya sawasawa na vidole.
β’ Ongeza sukari na changanya.
β’ Ongeza mayai na koroga na mwiko.
β’ Ongeza boga lililopondwa na koroga njia moja mpaka ilainike.
β’ (Kama haikulainika ongeza yai /mayai au maziwa/ maji kidogo).
β’ Ongeza vanilla na koroga.
β’ Paka mafuta chombo cha kuokea au sufuria kisha chekecha unga kidogo wa ngano.
β’ Mimina rojo la keki kwenye sufuria au chombo cha kuokea.
β’ Oka kwenye oven au tumia sufuria na weka mkaa wa moto juu na chini moto kidogo mpaka iive.
β’ Jaribu kuchoma kisu katikati, kama ni kavu keki imeiva, epua, pozesha kata tayari kwa kula, kama kitafunio.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_d91a832e16cf3e9478578045ac83ba53, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/katoliki/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mahitaji
Pasta (2 na 1/2 vikombe vya chai)
Uyoga (mashroom 2 vikombe vya chai)
...
Read More
Viambaupishi
Unga 300gm
Siagi 225gm
Icing Sugar 60gm
Chokoleti iliyokoz...
Read More
Mahitaji
Mchele (rice 1/2 kilo)
Maharage yaliyochemshwa (boiled red kidney beans 1 k...
Read More
Mahitaji
Mchele wa basmati - 4 cups
Samaki nguru (king fish) - 7 vipande au zaidiRead More
Mahitaji
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1...
Read More
Viambaupishi
Vipimo vya Wali:
Mchele 3 vikombe
*Maji ya kupikia 5 vikombe
...
Read More
Upishi na Mafuta ya Zeituni: Faida za Afya na Matumizi ya Mapishi π½οΈ
Karibu katika ma...
Read More
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababi...
Read More
Mahitaji
Nyama ya mbuzi au ngβombe ya mafupa - 2 LB
Mchanganyiko wa dengu (hadesi...
Read More
Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mz...
Read More
Vipimo
Wali:
Mchele - 3 Vikombe
Kitunguu kiichokatwa - 1
Pilipili bog...
Read More
Mahitaji
Viazi (potato) 1/2 kilo
Mafuta ya kukaangia (veg oil)
Chumvi
No comments yet. Be the first to share your thoughts!