β‘ Asubuhi saa 12 : 00 mtu anaamka, kabla hata HAJAMUSHUKURU MUNGU, kabla hata hajatoka kitandani, kabla hata hajajifunua shuka,
πATARIPOTI KWA SIMU KWANZA KABLA YA KURIPOTI KWA YEYOTE, NDIO HAPO UNAONA MTU AKIAMKA KABLA HATA HAJASALI KWA MUNGU ANAAMKIA SIMU KWANZA KUIKAGUA,
- Nani alinitafuta?
-Nani alini-text?
-WhatsApp nani kanitumia msg?
- kwenye magroup kuna mpya gani?
- Fb kuna post gani kali?
- nani kaweka picha kali leo?
Nk.
Akimaliza KURIPOTI KWA Simu, faster faster, anapiga kaombi ka kidesturi, sekunde 20 basi.
Biblia ipo hapo kando tu ya kitanda, lkn anaona hana muda wa kuisoma.
β΄BADALA YA KUANZA SIKU NA BWANA, MTU ANAANZA SIKU NA SIMU.
Pamoja na kazi za kuutwa, za mtu huyo, lkn atafanyq juu chini, apate muda wa KURIPOTI kwa SIMU.
Lakini mtu huyo huyo, hawez kbsa kupata muda wa kujitenga angalau kwa dk 3 tu, kw kutwa nzima ARIPOTI KWA MUNGU KWA NJIA YA MAOMBI.
Ana muda wa kusoma status kwenye social media kutwa nzima,
Lkn hana muda kbsa wa kupitia angalau sura moja tu, ya Biblia kwa siku.
Ana bundle la dk, sms, WhatsApp kila siku, lkn hana sadaka ya kumtolea Mungu.
Umeme ukikatika kutwa moja tu, akakosa kuwa na simu sababu ya chaji, anajisikia mpwekee, siku anaiona ndefuu, anajiona amepungukiwa saana!
Lakini huyo huyo, siku nzima inaisha, na ya pili, ya tatu , hajawahi kuwa na muda na Mungu wake hata kidogo, na anaona ni sawa tu.
Hata ktk siku ya ibada, yale masaa machache tu ya ibada, ambapo inatakiwa iwe ni mtu na Mungu wake tu, bila kuingiliwa na chochote, πmtu bado hawezi kukaa bila KURIPOTI kwa simu, ibada inaendelea huku mtu kawasha data, na anasoma na kujibu msg zake km kawaida.
π au kama ana kaustaraabu kidogo, atatoka nje, huko anaenda kukagua msg, kuangalia updates nk.
SIMU UNAYO KUTWA, KUCHWA, KIIILA SIKU, YANI HUKUWEZA KUVUMILIA KUIWEKA PEMBENI KWA MASAA TU?
β‘ Swali nauliza, Mtu wa aina hiyo Mungu wake ni nani?
" Usiwe na miungu mingine ila mimi".
KUTOKA 20 : 3
Kumuabudu Mungu peke yake, ni kumfanya Mungu awe wa KWANZA MOYONI NA MAWAZONI MWAKO.
Kumfanya awe kipaumbele kwenye kiila ulitendalo.
β‘WENGI WAMEZIFANYA SIMU ZAO, ZICHUKUE NAFASI YA MUNGU KATIKA MIOYO, FIKRA NA MAISHA YAO KWA UJUMLA.
β‘Wamekuwa tayari kupoteza karibu kiila kitu kwa ajili ya simu
- kupoteza marafiki > hawana muda na marafiki zao, wanajifungia ndani, wakichati.
- hawana muda na wazazi wao, hata kama wanaishi nyumba moja. > kijana akifika nyumbani, anapitiliza chumbani, ni yeye na simu, ataonekana muda wa kula tu, tena sometimes hata mezani anakuwa na simu, pale mezani wako wazazi wake kbsa, ndugu zake nk, lkn hajali uwepo wao, anaendelea na simu tu.
- Hawana muda na Mungu > Anahakikisha vyovyote itakavyokuwa, muda wa kuwa na simu unapatikana, HATA KAMA HILO LITAMAANISHA KUUPORA MUDA WA MUNGU (muda wa ibada).
Atakosa fedha za kusaidia wahitaji, fedha za zaka na sadaka, lkn fedha ya SIMU, (bundles) , lzm inakuwepo.
β‘Mtu wa aina hiyo, anaiabudu simu bila kujua.
β‘KITU CHOCHOTE KINACHOUVUTA MOYO KUTOKA KWA MUNGU, KUKIELEKEA CHENYEWE, KITU HICHO KINAJARIBU KUCHUKUA NAFASI YA MUNGU MOYONI.
NB: Sio lengo langu kupinga matumizi ya simu, lkn nilitaka tuwe na kiasi.
Emily Chepngeno (Guest) on March 30, 2024
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Ruth Kibona (Guest) on March 28, 2024
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Mary Sokoine (Guest) on February 27, 2024
Nakuombea π
Agnes Sumaye (Guest) on February 24, 2024
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Anna Sumari (Guest) on September 22, 2023
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Stephen Amollo (Guest) on July 14, 2023
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Elizabeth Mrema (Guest) on July 12, 2023
Neema ya Mungu inatosha kwako
Charles Mchome (Guest) on May 29, 2023
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Susan Wangari (Guest) on April 17, 2023
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Alice Jebet (Guest) on March 16, 2023
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Janet Sumaye (Guest) on December 2, 2022
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Thomas Mwakalindile (Guest) on November 15, 2022
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Faith Kariuki (Guest) on September 16, 2022
Imani inaweza kusogeza milima
Brian Karanja (Guest) on April 21, 2022
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Edward Chepkoech (Guest) on November 23, 2021
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
David Kawawa (Guest) on October 22, 2021
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Mary Kendi (Guest) on September 22, 2021
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Michael Mboya (Guest) on July 9, 2021
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Elijah Mutua (Guest) on June 13, 2021
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Charles Mchome (Guest) on April 13, 2021
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Jacob Kiplangat (Guest) on December 24, 2020
Mwamini katika mpango wake.
Philip Nyaga (Guest) on December 21, 2020
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Raphael Okoth (Guest) on November 18, 2020
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Lydia Wanyama (Guest) on August 15, 2020
Nguvu hutoka kwa Bwana
Martin Otieno (Guest) on August 4, 2020
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
James Kawawa (Guest) on June 22, 2020
Sifa kwa Bwana!
Monica Lissu (Guest) on June 20, 2020
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Thomas Mtaki (Guest) on April 19, 2020
Rehema zake hudumu milele
Charles Mrope (Guest) on August 26, 2019
Dumu katika Bwana.
Michael Mboya (Guest) on August 24, 2019
Mungu ni mwema, wakati wote!
Ruth Mtangi (Guest) on August 18, 2019
Neema na amani iwe nawe.
Lucy Mushi (Guest) on June 20, 2019
Tumaini ni nanga ya roho
Miriam Mchome (Guest) on November 18, 2018
Mwamini Bwana; anajua njia
Joseph Kitine (Guest) on October 20, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Lucy Mahiga (Guest) on December 14, 2017
Baraka kwako na familia yako.
Anna Mchome (Guest) on December 13, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Francis Mtangi (Guest) on December 10, 2017
Katika imani, yote yanawezekana
Linda Karimi (Guest) on July 23, 2017
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Josephine Nekesa (Guest) on July 16, 2017
Mungu akubariki!
Mariam Hassan (Guest) on July 4, 2017
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Grace Mligo (Guest) on June 13, 2017
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Isaac Kiptoo (Guest) on March 5, 2017
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
David Ochieng (Guest) on April 9, 2016
Endelea kuwa na imani!
Robert Okello (Guest) on March 23, 2016
Rehema hushinda hukumu
Catherine Naliaka (Guest) on February 16, 2016
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Rose Waithera (Guest) on December 20, 2015
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Simon Kiprono (Guest) on November 28, 2015
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Edith Cherotich (Guest) on October 31, 2015
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
George Wanjala (Guest) on October 16, 2015
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Jackson Makori (Guest) on June 24, 2015
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini