Toharani ni mahali gani?
Toharani ni mahali pa mateso zinakosafishwa roho ambazo hazikutimiza kitubio vizuri baada ya kuungama dhambi. (1Kor 3:15, 1Pet 1:7).
Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?
Ndiyo: twaweza kupunguza hata kuyamaliza kwa kuwasalia na kuwapatia rehema na hasa kwa kuadhimisha Misa kwa ajili yao. (2Mik 12:38-46)
Toharani maana yake nini?
Toharani maana yake kuna hali ya muda ambayo huruma ya Mungu inawatakasa marehemu waliofariki dunia katika urafiki naye lakini bila ya usafi kamili unaotakiwa kwa kuingia mbinguni. Sisi tunaweza kuharakisha utakaso wao kwa kumtolea Mungu sala na sadaka, hasa ekaristi. Yuda Mmakabayo βalichanga fedha kwa kila mtu jumla drakma elfu mbili, akazipeleka Yerusalemu kutoa sadaka ya dhambi.
Kwa kufanya hivi alitenda vema na kwa haki, kwa kuwa aliukumbuka ufufuo wa wafu. Maana kama asingalitumaini ya kuwa wale waliokufa watafufuka, ingalikuwa kazi bure isiyo na maana kuwaombea wafu. Lakini kwa kuwa aliufikiri utukufu wa thawabu waliowekewa wale wafao katika utauwa, wazo lake lilikuwa takatifu na la kicho. Ndiyo sababu alifanya upatanisho kwa wafu ili wafunguliwe dhambi zaoβ (2Mak 12:43-46). Imani hiyohiyo iliongoza Wakristo wa kwanza kuwafanyia marehemu ibada ambayo haieleweki vizuri, lakini hailaumiwi na Mtume Paulo: βKama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao?β (1Kor 15:29).
Moses Mwita (Guest) on May 23, 2024
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Sarah Mbise (Guest) on April 11, 2024
Nguvu hutoka kwa Bwana
Susan Wangari (Guest) on December 11, 2023
Mwamini Bwana; anajua njia
Agnes Lowassa (Guest) on October 28, 2023
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Chris Okello (Guest) on October 12, 2023
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Mariam Kawawa (Guest) on October 2, 2023
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Grace Mushi (Guest) on September 25, 2023
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Esther Cheruiyot (Guest) on August 31, 2023
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Samson Mahiga (Guest) on August 11, 2023
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Nancy Kabura (Guest) on April 9, 2023
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Bernard Oduor (Guest) on March 16, 2023
Sifa kwa Bwana!
George Mallya (Guest) on January 7, 2023
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
David Chacha (Guest) on October 30, 2022
Tumaini ni nanga ya roho
Lydia Mutheu (Guest) on October 29, 2022
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Mary Kendi (Guest) on October 14, 2022
Rehema zake hudumu milele
Francis Mrope (Guest) on August 24, 2022
Mungu ni mwema, wakati wote!
John Kamande (Guest) on March 31, 2022
Rehema hushinda hukumu
Joy Wacera (Guest) on March 18, 2022
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Elizabeth Mtei (Guest) on February 21, 2022
Dumu katika Bwana.
Ruth Wanjiku (Guest) on September 1, 2021
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
David Nyerere (Guest) on April 10, 2021
Imani inaweza kusogeza milima
Faith Kariuki (Guest) on July 16, 2020
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
David Kawawa (Guest) on June 14, 2020
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Robert Okello (Guest) on April 10, 2020
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Grace Mligo (Guest) on November 1, 2019
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Edith Cherotich (Guest) on October 25, 2019
Katika imani, yote yanawezekana
Carol Nyakio (Guest) on August 31, 2019
Neema ya Mungu inatosha kwako
Monica Lissu (Guest) on August 23, 2019
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
James Kawawa (Guest) on April 10, 2019
Neema na amani iwe nawe.
Elijah Mutua (Guest) on April 8, 2019
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Nora Kidata (Guest) on October 12, 2018
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
George Wanjala (Guest) on October 11, 2018
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Mary Kidata (Guest) on June 20, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Moses Kipkemboi (Guest) on June 15, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Bernard Oduor (Guest) on May 14, 2018
Endelea kuwa na imani!
Lydia Mzindakaya (Guest) on March 5, 2018
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Grace Minja (Guest) on February 17, 2018
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Betty Kimaro (Guest) on November 16, 2017
Nakuombea π
Jane Muthoni (Guest) on May 25, 2017
Mungu akubariki!
Martin Otieno (Guest) on May 24, 2017
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Henry Mollel (Guest) on March 9, 2017
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Nancy Kabura (Guest) on November 12, 2016
Baraka kwako na familia yako.
Peter Otieno (Guest) on November 6, 2016
Mwamini katika mpango wake.
Jacob Kiplangat (Guest) on June 18, 2016
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Grace Minja (Guest) on March 13, 2016
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Miriam Mchome (Guest) on October 24, 2015
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Nancy Kawawa (Guest) on October 10, 2015
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Emily Chepngeno (Guest) on September 7, 2015
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Nancy Akumu (Guest) on July 16, 2015
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Anthony Kariuki (Guest) on July 10, 2015
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe