SHEREHE YA MT. YOSEFU, MUME WA BIKIRA MARIA
SOMO 1
2Sam. 7: 4 β 5, 12 β 14, 16
Ikawa usiku uo huo, neno la Bwana likamfikia Nathani kusema, Enenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, Bwana asema hivi, siku zako zitakapo timia, ukalala na Baba zako, nitainua mzao wako nyuma yako, atakayetoka viunoni mwako, nami nitaufanya imara ufalme wake.
Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa jina langu, nacho kiti cha enzi cha ufalme wake nitakifanya imara milele. Mimi nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu, akitenda maovu nitamwadhibu kwa fimbo yako, na ufalme wako, vitathibitishwa milele mbele yako. Nacho kiti chako kitafanywa imara milele.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 89:1 β 4, 26, 28 (K) 36(K)
Wazao wake watadumu milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako. (K)
Nimefanya agano na mteule wangu,Nimemwapia Daudi, mtumishi wangu.Wazao wako nitawafanya imara milele,Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele. (K)
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Hata milele nitamwekea fadhili zangu,Na agano langu litafanyika amini kwake. (K)
SOMO 2
Rum. 4:13, 16 β 18, 22
Ahadi ile ya kwamba atakuwa mrithi wa ulimwengu alipewa Ibrahimu na uzao wake, si kwa sheria bali kwa haki aliyohesabiwa kwa Imani. Kwa hiyo ilitoka katika Imani, iwe njia ya neema, ili kwamba ile ahadi iwe imara kwa wazao wote; si kwa wale wa torati tu, ila kwa wale wa Imani ya Ibrahimu; aliye baba yetu sisi sote; (kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi); mbele zake yeye aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, ayatajaye yale yasiyokuwako kana kwamba yamekuwako.Naye aliamini kwa kutarajia yasiyoweza kutarajiwa, ilia pate kuwa baba wa mataifa mengi, kama ilivyonenwa, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako. Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki.Neno la Bwana⦠Tumshukuru Mungu.
SHANGILIO
Zab. 84:5
Heri wakaao nyumbani mwako, Ee Bwana.
Richard Mulwa (Guest) on July 18, 2024
Nakuombea π
James Kawawa (Guest) on June 1, 2024
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
John Mwangi (Guest) on March 26, 2024
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
George Mallya (Guest) on December 1, 2023
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Samson Tibaijuka (Guest) on November 9, 2023
Sifa kwa Bwana!
Irene Akoth (Guest) on May 9, 2023
Endelea kuwa na imani!
Irene Akoth (Guest) on May 4, 2023
Mungu akubariki!
Elizabeth Mrema (Guest) on March 24, 2023
Dumu katika Bwana.
Mary Kendi (Guest) on February 28, 2023
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Lucy Mahiga (Guest) on February 11, 2023
Mwamini katika mpango wake.
Rose Waithera (Guest) on December 26, 2022
Baraka kwako na familia yako.
Janet Mwikali (Guest) on October 28, 2022
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
Paul Kamau (Guest) on September 28, 2022
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Nancy Akumu (Guest) on April 9, 2022
Neema na amani iwe nawe.
Andrew Mchome (Guest) on March 19, 2022
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Christopher Oloo (Guest) on March 1, 2022
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Andrew Mchome (Guest) on September 9, 2021
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Grace Wairimu (Guest) on August 30, 2021
Rehema zake hudumu milele
Alice Wanjiru (Guest) on May 10, 2021
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Monica Adhiambo (Guest) on January 5, 2021
Neema ya Mungu inatosha kwako
John Kamande (Guest) on December 29, 2020
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Rose Amukowa (Guest) on December 8, 2020
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Grace Majaliwa (Guest) on December 2, 2020
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Dorothy Majaliwa (Guest) on March 11, 2020
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Sarah Achieng (Guest) on January 17, 2020
Nguvu hutoka kwa Bwana
Isaac Kiptoo (Guest) on November 25, 2019
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Thomas Mtaki (Guest) on October 27, 2019
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Anna Malela (Guest) on August 15, 2019
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Vincent Mwangangi (Guest) on June 28, 2019
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Mary Njeri (Guest) on May 16, 2019
Rehema hushinda hukumu
Joseph Kawawa (Guest) on April 26, 2019
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Christopher Oloo (Guest) on October 28, 2018
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Benjamin Masanja (Guest) on October 24, 2018
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Violet Mumo (Guest) on March 3, 2018
Mwamini Bwana; anajua njia
Susan Wangari (Guest) on February 24, 2018
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Alex Nyamweya (Guest) on February 8, 2018
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Paul Kamau (Guest) on February 6, 2018
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Stephen Mushi (Guest) on June 25, 2017
Katika imani, yote yanawezekana
James Kimani (Guest) on May 10, 2017
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
George Mallya (Guest) on April 26, 2017
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Samuel Were (Guest) on March 15, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Victor Malima (Guest) on February 18, 2017
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Charles Mchome (Guest) on February 14, 2017
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Ann Wambui (Guest) on February 9, 2017
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Ruth Mtangi (Guest) on January 23, 2017
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Alice Mrema (Guest) on November 20, 2016
Imani inaweza kusogeza milima
Alice Jebet (Guest) on April 27, 2016
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Rose Kiwanga (Guest) on March 7, 2016
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Martin Otieno (Guest) on September 28, 2015
Tumaini ni nanga ya roho
Betty Kimaro (Guest) on September 4, 2015
Mungu ni mwema, wakati wote!